Offers

PhotoShine Studio Tunatoa punguzo maalum la bei za bidhaa tunazotengeneza. Tunabadilisha mandhari (Background) ya picha zako na kukupa uhuru wa kuchagua mandhari uipendayo kutoka kwa maelfu ya background tulizo nazo. Bonyeza hapa kuchagua mandhari.
Tunakupatia pia ofa ya Kalenda yenye picha zako au familiya yako kwa mwonekano unaotaka mwenyewe!




Your Photos...Your Memory!

No comments:

Post a Comment